Saturday, April 7, 2012

KANUMBA AFARIKI DUNIA............

Vyanzo mbalimbali vinasema alipotoka bafuni alimkuta Lulu akiongea na Simu, alipotaka kumpokonya Lulu alimsukuma na Kanumba alianguka na kufikia kisogo............Kanumba alizaliwa 8/1/1984. Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi. AMENI!!!!

0 comments:

Post a Comment