Tuesday, April 3, 2012

GO...GO...GO..NASSARI

Wengine walitumia hadi kimombo kumnadi na kusherekea ushindi wa mbunge mpya wa Arumeru...kijana mwenye miaka 27 ambaye vijana wengi wanamatumaini atawatoa katika matatizo....ilikua siku ya jumatatu ambapon jiji zima la Arusha lilikua limejaa bendera za chadema na watiu wakionesha ishara za vidole viwili ikimanisha chadema na kufuraia ushindi....msongo blogspot inampongeza mbunge mpya wa Arumeru Joshua Nassari.

0 comments:

Post a Comment