Wednesday, April 11, 2012

BREAKING NEWS:LULU ARUDISHWA RUMANDE.....

Bongo movie star Elizabeth Micheal(18) kapandishwa kizimbani leo kwa kosa linalosemekana kumuua Steven Kanumba...Lulu alisikiliza shtaka lake na badae kuambiwa arudi rumande mpaka April 23 kesi itakapo sikilizwa tena...

1 comment:

  1. Lulu vumilia,we hope yataisha//we hope it wasnt your plans..pole sana LULU ndio maisha

    ReplyDelete