Thursday, April 12, 2012

Deepest Sympathies to the loss of "Steven Kanumba"...

BONGO STAR LINK: Deepest Sympathies to the loss of "Steven Kanumba"...: Kwa  kuanza ,Nitangulize our deepest Sympathies  toka Noizmekah Production studios Arusha,May the Soul of the great Film icon "Steven Kanumb... rest in eternal peace,We all head the same path...Banxtramatic aka Hookmaster toka pande za ChugaTown na mtu mzima te kankara aka Gnako wanakuja na banger waloipa jina "Right Now" ikiwa ni 1st solo project ya banx kuwa officially released kwa hewa,Kama inavofahamika wara na banx waliskika pamoja kiping\di cha nyuma kidogo katika pini la Right here alokuwemo pia mzee mzima Umbwa 4rom Watengwa "Nimekuwa quiet kw muda na hii ni tokana na majukumu ya kielimu zaidi na this joint ni exclusive kwa watu wangu wote round the world,mkono ni wa Defxtro pande za noizmekah.com,Peace kwa supporting media zote ndani na nje ya BongoTz!!..once again,Rest In peace to all our lost loved ones!

0 comments:

Post a Comment