Monday, April 30, 2012

Simba yajisafishia njia Kombe la Shirikisho

Mabao Matatu yaliyofungwa kipindi cha pili na Haruna Moshi {Dk. 66}, Patrick Mafisango {Dk.77} na Emmanuel Okwi{Dk. 88} yameweza kuiweka Simba kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele dhidi ya Al Ahly Shandy, Huku wakisubiri mchezo wa marudiano ambao utachezwa mwezi Mei Nchini Sudan. Simba itahitaji sare yoyote au kufungwa si chini ya Goli 2-0 ili iweze kusonga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo.

0 comments:

Post a Comment