Tuesday, May 15, 2012

Raul atua Al Sadd-Qatar

Raul Gonzalez ''Blanco'' ametua katika klabu ya Al Sadd ya Doha,Qatar. Mwanasoka huyo mkongwe wa Hispania bado ameendelea kuvaa jezi namba 7. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34 aliyewika katika klabu ya Real Madrid, ametua timu hiyo akitokea Schalke 04 ya Ujerumani, aliyoichezea kwa misimu miwili.

0 comments:

Post a Comment