Saturday, May 12, 2012

Crazy GK, MwanaFalsafa na AY Katika Project Ya Pamoja

Wanamuziki hawa waliokuwa wanaunda kundi la East Coast Team {E.C.T] lililotamba sana na Track zake kama Hii Leo na zingine kwa pamoja likiwa na maskani yake Upanga, Dar Es Salaam kwa sasa wanafanya Project ya pamoja katika kuendeleza sanaa ya muziki wetu hapa Tanzania.
Kwa tetesi za fasta kutoka kwa msongo team project inanukia na very soon tutapata full data kusu kinachopikwa na wanajeshi hawa...

0 comments:

Post a Comment