Thursday, March 1, 2012

STARS YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI..........

Baada ya kulazimshwa sare ya 1-1 na Timu ya Taifa ya Msumbiji kwenye Uwanja wake wa Nyumbani(Taifa), katika mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu Mataifa ya Afrika nchini Afrika ya Kusini 2013.

0 comments:

Post a Comment