Friday, January 20, 2012

COMMON KUMJIBU BIRDMAN KUHUSU DRAKE KUJIKUSANYA NA YMCMB KUSHINDANA NAE..

Common amjibu Birdman na kumwambia kuwa kwanini alete kundi zima akati yeye ni solo,anataka one to one match ili waone kati ya yeye na Drake nani MC bora...kama anataka makundi Common kasema ata team up na G.O.O.D music brothers kina Kanye west.

0 comments:

Post a Comment