Saturday, January 21, 2012

DIDIER DROGBA KUBAKI STAMFORD BRIDGE..

hatimaye mchezaji striker wa chelsea Didier Drogba kusema atabaki Stamford Bridge mapaka apo June.June ndio mkataba wa mchezaji Drogba unaisha,ingawa timu ya Chelsea inataka kumuongezea mchezaji uyo mda wa miezi 12.

0 comments:

Post a Comment