Tuesday, January 10, 2012

Jay z & Beyonce...Blue Ivy Carter..

Beyonce na mumewe JAY Z, inaaminika walilipa kiasi cha dola milioni 1.3 za kimarekani, zaidi ya bilioni mbili za kitanzania ili tu kuimiliki gorofa ya nne ya jengo hilo la hospitali ya Lenox hill New York, wawe wao wenyewe, mtu mwingine asiruhusiwe kabisa kuingia.

0 comments:

Post a Comment