Monday, February 6, 2012

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA FESTIVAL 2012 UZINDUZI

safari lager yazindua rasmi mashindano ya kuchoma nyama jijini Dar leo,Meneja wa bia ya safari Oscar Shelikindo akizungumza na vyombo vya habari leo,na kusema mashindano hayo yatafana sana since majiko ya ma bar mbalimbali yashirikishwa kwenye shindano hili....je MFOJO bingwa wa kuchoma nyama atakueko???

0 comments:

Post a Comment