Wednesday, February 8, 2012

MKURUGENZI NA MWENYEKITI WA YAHOO WACHIA NGAZI....


Mwenyekiti wa yahoo Roy Bostock na wakurugenzi wengine wa tatu wa yahoo wafukuzwa kazi...ingawa yahoo tayari imeziba izo nafasi kwa kuwajiri ..Alfred Amoroso, former president and chief executive of Rovi Corporation, and Maynard Webb, a former chief operating officer at eBay.

0 comments:

Post a Comment