Monday, February 20, 2012

RAIS KIKWETE AKIWA SHAMBANI KWAKE KIJIJINI MSOGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (Zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza.

0 comments:

Post a Comment