Pages

Pages

Thursday, May 31, 2012

BRENDAN RODGERS NEW LIVERPOOL MANAGER?????

39 years Brendan Rodgers has finally agreed to sign 3 years contract at Anfield..Liverpool sacked Kenny Daglish 16 may.

Airtel yakabidhi Vifaa vya michezo...

Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa shule za sekondari 24, Kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya vijana chini ya miaka 17 maarufu kama ''Airtel Rising Star''. Inayotarajiwa kuanza Mei 30, Lengo kubwa ni kuinua vipaji kwa vijana wenye chini ya miaka 17. Akikabidhi vifaa hivyo kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) Sanifu Kondo, Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde, alisema jumla ya timu 24 zinatarajiwa kushiriki mashindano hayo. Alisema vifaa vilivyotolewa ni jezi na mipira na kila timu itapatiwa jezi mbili.
"Mwaka huu tumeboresha zaidi michuano hii  ikiwa ni pamoja na kushirikisha timu za wasichana tofauti na hapo awali, ambapo kila mkoa utatoa timu ya wanawake ambayo itakuwa kombaini.
"Mwaka huu mashindano yatashirikisha mikoa sita kwa kuanzia ngazi ya mikoa kabla ya ile ya taifa itakayoanza Juni na timu bingwa itashiriki mashindano ya siku nne nchini Kenya yajulikanayo kama Inter Continental Tourmament yatakayoshirikisha mataifa zaidi ya 16," alisema Jane. Alisema mbali na timu hiyo pia watateua wachezaji sita bora ambao watashiriki kliniki ya soka maarufu kama Coaching Stars  itakayofanyika nchini Kenya chini ya jopo la makocha kutoka Academy ya soka ya Manchester United ya Uingereza.

Monday, May 28, 2012

Hali tete Visiwani Zanzibar

Askari wa kutuliza ghasia wakifanya doria mitaani
Waandamaji waliosababisha vurugu kubwa Visiwani Zanzibar wakiendelea na maandamano yao,

Gari na Jengo la Kanisa la TAG baada ya kuchomwa moto

Sunday, May 27, 2012

Stars yatoka sare na Malawi ndani ya Uwanja wa Taifa.....

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' leo imeshindwa kutamba mbele ya Malawi katika mchezo wa kujipima nguvu kabla ya michezo ya kusaka tiketi ya kombe la dunia mwaka 2014 ambapo Taifa Stars itwakwaana na Ivory Coast na Malawi kuwavaa Waganda. Katika mchezo wa leo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na mchezo ukimalizika kwa sare ya bila kufungana huku Taifa Stars wakifanya makosa ambayo yange igharimu timu hiyo hii leo kama Malawi wangekuwa Makini. Taifa Stars walicheza kiuwelewano katika kipindi cha kwanza na huku wakitengeneza nafasi chache za kujipatia magoli wakati wa Malawi walionekana kuwa hatari kwa mipira mirefu. Kipindi cha pili kilikuwa kibaya kwa stars ambapo kuungo chake kilipotea na kadri ya dakika zilivyosogea wachezaji walionekana kuchoka. Nafasi pekee ambayo Stars wameijutia kuipoteza ilikuwa katika dakika ya 58 ambapo Shomari Kapombe na Mbwana Samata waligusiana vyema na mpira wa mwisho kumkuta Samata ambaye aliingia na mpira kwenye eneo la hatari akitokea upande wa kulia na alipo piga pasi ya chini chini kuelekea kwa Haruna Moshi 'BOBAN' ambapo beki wa Malawi ulimgonga na kwenda kugonga mwamba wa pembe ya pili na mpira kuamba katikati ya Boban na Ngassa kabla ya beki wa Malawi kuutoa nnje na kuwa kona. Na nafasi pekee ambayo wa Malawi wanaweza jutia ni ile ya kipindi cha kwanza ambapo Juma Kaseja alielekea upande sio baada ya Yondan kuhamisha muelekeo mpira katika purupushani ya kuokoa na mpira kumkuta mshambuliaji wa Malawi aliyepiga kichwa na mpira wake kuokolewa na Aggrey Morise.

BARCELONA WIN CUP IN GUARDIOLA SWANSONG.....

Barcelona gave coach Pep Guardiola the perfect send off on Friday, beating Athletic Bilbao 3-0 in Madrid to win the Spanish Cup in the coach's last match in charge after a memorable four seasons in the Catalan hot seat.
Lionel Messi, with his 73rd goal of the season, and a Pedro Rodriguez double finished off the Basque side inside the first half an hour and delivered Guardiola his 14th and final trophy at the club.
Guardiola leaves the side he once played for with three Spanish leagues, two Champions Leagues, two Fifa World Club Cups, two Uefa Supercups, three Spanish Supercups and two Spanish Cup victories as coach.
The win was a repeat of Guardiola's first title in the 2008-09 final when the Catalans ran out 4-1 victors over Bilbao.
Guardiola has never lost to Athletic in his four seasons, winning ten out of 15 clashes between the two sides who boast the most Spanish Cup victories, Barca making it 26 with this win to Bilbao's 23 titles.
Afterwards the 41 year-old from the small town of Santpedor, 70 kilometres (40 miles) outside the Catalan capital, was happy with the win and spoke of the role Messi has played during his time at the club.
"Fourteen titles in 4 years is a very high standard so I am very happy to leave the club in a good position, and tonight we played great for the first 35 minutes, we've had a good year with 4 titles so I leave very satisfied," he said.
"From Messi I have learned to be even more competitive than I ever was, without him we would not have won the number of titles we have and I'm very priviledged to have coached who for me is the best player I have ever seen."
Marcelo Bielsa, the Argentinian veteran in charge of Bilbao was philosophical in defeat.
"I put out a team I thought could win tonight, but we were not able to live up to the expectations of our fans," he said.
With Dani Alves and Carles Puyol injured, Guardiola had decided to start with a four-man defence including the youngster Martin Montoya at right-back.
He also made the decision to give Pedro a final chance to play himself into the Spanish squad for Euro 2012 and the forward grabbed it with both feet.
Bilbao got an early warning of what to expect when Messi went straight into a mazy run from kick-off before shooting just wide.
Within three minutes of the start Barca were ahead.
When centre-half Amorebieta diverted a goal-bound Pedro shot wide, the striker latched on to a loose ball to fire home from the resulting corner.
On 15 minutes Messi had a left-footed curling shot tipped over the bar by Bilbao stopper Gorka Iraizoz and three minutes later Xavi Hernandez shot just over the bar.
It was therefore no surprise when Messi doubled the lead on 21 minutes, the little Argentinian taking one touch to control a slide-rule pass from Andres Iniesta before slamming home from close range.
Four minutes later and Pedro made it three to end all doubts of where the cup would be heading. Gerard Pique played a long searching pass to Xavi on the edge of the area who cleverly laid it back for the Tenerife-born player to side foot home his second.
Bilbao continued to battle and within a minute going three down Markel Susaeta brought the first save at the other end from Jose Pinto, who has replaced Victor Valdes all season in goal for Barca in domestic cup games.
The Basques had further chances to reduce the margin.
On 28 minutes referee David Fernandez waved away what appeared to be a clear penalty after Pique had pulled down Fernando Llorente and Iker Muniain had an angled shot blocked at the near-post on the stroke of halftime.
Backed by their impressive fans who refused to be silenced by the scoreline, they continued to look for a way back throughout.
Ibai Gomez, Inigo Perez and Jon Aurtenetxe all had chances but they failed to score in a final for the second time this season, following their 3-0 defeat to Atletico Madrid in the Europa League.
At the other end Gorka denied Messi after another scintillating run as Barca were content to run down the clock and savour the occasion.
Guardiola has said he will now take a season break from the game before deciding where his future lies.
Here he continued to wring every ounce of effort out of his side from the sidelines in the final moments of a glittering reign to assure another title for his Barcelona side.

Friday, May 25, 2012

Mwenyekiti wa Yanga-Lloyd Nchunga Ajiuzulu

MWENYEKITI wa Yanga, Wakili Lloyd Baharagu Nchunga ametangaza kujiuzulu wadhifa wake jioni hii ofisini kwake, jengo la NSSF, barabara ya Bibi Biti, Dar es Salaam,
TAARIFA YA KUJIUZULU KWA NCHUNGA:
LLOYD NCHUNGA BIHARAGU
C/O LLOYD ADVOCATES,
Morogoro/Bibi TIti  Mohamed Rd,7th Floor, J.K. Nyerere Pension towers
P.BOX 75111, Dar-Es- Salaam,Tanzania.
                                                                


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUJIUZULU NAFASI YA UENYEKITI WA KLAB YA YANGA.
Ndugu wana Habari, najua kwamba taarifa hii itawafedhehesha wajumbe na wanayanga wanaotuunga mkono,hasa ukizingatia maamuzi ya pamoja ya vikao vyetu vya kamati ya utendaji vilivyopita kwamba hakuna wa kujiuzulu kati yetu mpaka tujue hatma ya mkutano mkuu ambao tulipanga ufanyike tarehe 15 Julai 2012, ukiachia mbali shinikizo la kujiuzulu linalotolewa na baadhi ya wazee na wanaojiita vijana wa klab, kwa wajumbe wa kamati ya utendaji, na hasa mimi kama mwenyekiti.
Nawashukuru wajumbe kwamba tulifanya kazi kwa pamoja na kwa ushirikiano mzuri, na hata pale tulipotofautiana tulifanya hivyo kwa hoja na kufikia maazimio ambayo wote tulikuwa tunawajibika nayo.
Tangu tumeingia madarakani tumeweza kushirikiana na kupata mataji matatu katika kipindi cha mwaka mmoja, yaani; Ngao ya Hisani 2010, Ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom 2010/2011, na Ubingwa wa  Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup), 2011. Zaidi ni kwamba tuliuwa uteja kwa watani wetu wa jadi kila tulipokutana katika ligi ukiachia mbali mechi ya tarehe 6 Mei 2012, ambayo tulifungwa goli 5 bila, na kuleta mtafaruku mkubwa katika klab yetu.
Hali kadhalika tumeshirikiana  mpaka tumeweza kuboresha mkataba kati yetu na TBL kupitia Kilimanjaro Premium Lager, tumeingia mkataba na  kampuni ya NEDCO  kuendeleza mali zetu katika mtaa wa mafia na uwanja wetu wa KAUNDA baada ya kufikia hatua nzuri katika kupata hati miliki za maeneo yote mawili. Nafahamu kwamba kampuni hiyo iko katika hatua za mwisho za kumalizia michoro.
Hali kadhalika tuliingia mkataba wa kuzalisha na kuuza bidhaa zenye nembo yetu na hasa baada ya kufanya marekebisho yatokanayo na matakwa ya sheria kule BRELA na pia mkataba na kampuni ya NEXUS LTD, ambayo itakuwa inatutafutia wadhamini wa nje na ndani, kufanya promosheni zetu na kampeni kwa njia ya electronic kupitia mitandao mbalimbali na kukusanya data za wanachama na kusajili  wapya tukiwa na malengo ya kukusanya shilingi 300,000,000/= hadi 800,000,000/= kwa mwaka katika kipindi cha miaka mitatu. Haya yote tuliyafanya tukilenga kujitegemea kujazia mapengo yaliyokuwa yakitokana na kutegemea ufadhili wa mtu mmoja mmoja.
Kwa ridhaa yenu tumekua tukiendelea na mazungumzo na makampuni mbali mbali kwa ajili ya udhamini na kwa sababu maalum, nitazitaja katika hati ya makabidhiano kwa kiongozi ajaye.
Aidha, tumeshirikiana katika kufanya mambo mbali mbali ya kijamii, ikiwa ni pamoja na sikukuu ya kuadhimisha miaka 77 ya Yanga, sikukuu za pasaka, kuchangia jamii na waliokumbwa na maafa, na kongamano la vijana lililolenga kuwaamsha vijana kuitambua nafasi yao katika Yanga ikiwa ni pamoja na kupata azimio la kuanzisha SACCOSS ya Yanga, ambapo maombi yapo kwa msajili Manispaa ya Ilala.
Haya yote nayataja ikiwa ni kuwashukuru kwa ushirikiano na ikiwezekana muweze kuyakamilisha yaliyobaki ambayo mtaona yalikuwa mazuri.
Lakini pia tulipopata matatizo tulikuwa pamoja.  Nichelee kusema tu kwamba tulisimama pamoja baada ya kujiuzulu Makamu Mwenyekiti wetu Ndugu Davis Mosha na mjumbe wetu  ndugu Seif A. Seif, Ali Mayayi, na wengineo, kwani tulifungwa na katiba.Tulisimama pamoja pia katika suala la kujiuzulu ndugu Yusuf M. Manji, aliyekuwa mdhamini mteule na mfadhili mkuu ambaye sasa ameonyesha nia ya kurudi nanyi mkaridhia mkutane naye. Awali, tulitumia kila jitihada za kumrejesha lakini ikashindikana.
Hata hivyo doa limetupata baada ya kufungwa na watani wetu goli 5 bila, ambapo kuna wanachama wanaoelewa na wasioelewa kabisa.
Ninachokiona mimi ni usaliti wa hali ya juu uliombatana na matukio mbalimbali yaliyopita na yanayoendelea hadi kujaribu kupindua uongozi wa halali wa kidemokrasia. SIWATUHUMU WACHEZAJI MOJA KWA MOJA, isipokuwa  mfululizo wa matukio wiki tatu kabla ya mchezo ule na sasa, inaonyesha kwamba kulikuwa na usaliti mkubwa ambao sisi hatukuweza kuubaini mapema.
Sioni mantiki katika hoja kwamba wachezaji walikuwa wakidai mishahara, posho n.k.  Au ati mtendaji wetu alishikiliwa Arusha kwa deni la hoteli, ndiyo  tuvune bao 5!
Kwa wanaoijua Yanga, imewahi kuwa na madeni makubwa katika Hoteli mbali mbali, mawakala wa ndege n.k, na baadhi tumeyakuta na sisi tumekuja tukayalipa. Hii imewahi kutokea kabla na wakati akiwepo mfadhili, sembuse sisi tulioachwa baki, na bado wachezaji walicheza kwa morali.
Hata hivyo, utamaduni wa kutimuana baada ya matokeo mabaya ni dhambi ambayo itatula kama hatutaiacha, kwani wenye hila na uchu wa madaraka wataendelea kutumia mbinu hiyo ili kuuondoa uongozi wa kidemokrasia.
Baada ya mapinduzi kushindikana na TFF kuonya kuhusu mapinduzi hayo, wazee kupitia msemaji wao , Mzee Akilimali wamesikika katika kipindi cha Michezo  cha Redio moja maarufu hapa nchini wakidai kwamba ni bora Yanga ishushwe daraja au kufungiwa kuliko mimi kuendelea kuongoza!
Hii imenikumbusha HEKMA ZA MFALME SELEMANI akiamulia ugomvi wa wanawake wawili waliokuwa wakigombea mtoto naye akaamuru wamgawane nusu kwa nusu. Yule mwenye mtoto kweli alimuomba Mfalme amuachie mwenzie kuliko kumkata nusu.
Kwa hekma hiyo nimeamua kujiuzulu nafasi yangu katika Uenyekiti  wa Yanga kwani ni klab ninayoipenda hata kama sio kiongozi kwa mujibu wa ibara ya 28 ya katiba yetu.
Vile vile siko tayari kuona klab yangu ikisalitiwa au kuhujumiwa eti kwa sababu tu mimi ni kiongozi.
Natumaini kamati ya utendaji kwa pamoja na wale tuliowateua chini ya ibara ya 29(3) ya katiba ya Yanga pamoja na bodi ya wadhamini, itawaongoza wanachama mpaka kufikia mkutano mkuu kwa  mafanikio zaidi.
 Nitaendelea kuwa mwanachama mwadilifu na nitatoa mchango wangu wa hali na mali pale nitakapo hitajika na nikiwa  na uwezo wa kufanya hivyo.
YANGA DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO.
Wasalaam,


LLOYD NCHUNGA BIHARAGU.

Nakala kwa:-
Mama Fatma Karume,Mdhamini
Francis Kifukwe, Mdhamini
Bwana Yusuf Manji – Kwa taarifa

Thursday, May 24, 2012

Serengeti na NMB watoa misaada kwa Twiga Stars.

Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na Benki ya NMB, wameichangia timu ya taifa ya soka ya wanawake ''Twiga Stars'' Tshs. Milioni 30 pamoja na vifaa vya michezo, vyenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 5.5. Mafuru alisema baada ya hivi karibuni kutangaza kudhamini tuzo za wanamichezo bora za Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), walifuatwa na serikali kuombwa kuisaidia Twiga Stars, ambayo haina mdhamini. Alisema kwa kuzingatia umuhimu wa kuisaidia timu hiyo, walikutana na NMB, ambao walikuwa wadhamini wenzao katika timu ya soka ya wanaume, Taifa Stars kabla ya kujitoa mwaka jana, wakakubaliana kuisaidia Twiga kwa kiwango hicho. Akizungumza katika makabidhiano hayo, yaliyofanyika makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume-Ilala, Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru Balozi alisema kwamba wao wametoa Sh. Milioni 15 na NMB kiwango kama hicho pia.
Mafuru pia ametoa wito kwa wadau wengine kujitokeza kuichangia timu hiyo, iliyopo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika. Kwa upande wake, Meneja Masoko wa NMB, Imani Kajula alisema kwamba wao kama wadau wakubwa wa michezo wameona umuhimu wa kuisaidia timu hiyo na pia kuanzisha kampeni ya kuitafutia misaada zaidi. Alisema wamefungua akaunti inayoitwa; Changia Twiga Stars na amewataka wadau na makampuni mengine kuichangia timu hiyo kupitia akaunti hiyo. Kajula alisema anaamini kwa sababu benki yao inaongoza kuwa na matawi mengi nchini, itakuwa rahisi kwa wadau mbalimbali kuisaidia timu hiyo. Kwa upande wake, Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Nasra Juma Mohamed aliwashukuru SBL na NMB kwa msaada huo na kuahidi matokeo mazuri katika mechi yao na Ethiopia Mei 27, mwaka huu mjini Addis Ababa. Nasra pia aliwashukuru Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi walioitembelea timu hiyo kambini jana Ruvu na kutoa posho ya siku 16 kwa wachezaji na makocha wa timu hiyo. Nasra amewataka Watanzania kutokatishwa tamaa na matokeo ya timu hiyo kufungwa mechi  mbili mfululizo za kujipima nguvun dhidi ya Zimbabwe na Afrika Kusini, kwani kupitia mechi hizo wameweza kubaini mapunfugu ya timu na kuyafanyia kazi na sasa wanaamini timu iko tayari kuleta matokeo mazuri. Mapema katika Mkutano huo, Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Burton Kayuni alisema timu hiyo inakabiliwa na hali mbaya kifedha na kwa sababu hiyo, TFF ikaamua kusaka wafadhili kwa kushirikiana na serikali na akawashukuru SBL na NMB kwa kujitokeza. Naye Ofisa wa Wizara ya Habari, Mama Juliana Yassoda, pamoja na kuwashukuru SBL na NMB, pia ametoa wito kwa makampuni mengine nchini kuiga mfano wa makampuni hayo kwa kusaidia timu hiyo, ili iweze kufuzu kwa mara ya pili mfululizo kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika, kwani ina uwezo huo ikipigwa jeki. 

Tuesday, May 22, 2012

Mapigano kati ya Wakulima na Wafugaji Ikwiriri, hali bado tete.......

MAPIGANO makali kati ya wakulima na wafugaji yaliyozuka katika eneo la Ikwiriri wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusababisha vifo, majeruhi, nyumba kuchomwa moto, maduka kuvunjwa na barabara kufungwa kwa zaidi ya saa sita.
Chanzo cha mapigano hayo, kinaelezwa kuwa ni kutokana na kuuawa mkulima wa Ikwiriri, Shamte Seif (60) na wafugaji katika ugomvi uliotokana na ng’ombe kuingia kwenye shamba lake. Hadi jana jioni, watu kumi na moja walikuwa wameripotiwa kujeruhiwa, tisa kati ya hao wamelazwa katika Kituo cha Afya Ikwiriri na wawili walihamishiwa katika Hospitali ya Misheni Mkuchu, Ikwiriri baada ya hali zao kuwa mbaya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Ernest Mangu alithibitisha kuuawa kwa Seif na kusema wafugaji wawili wanashikiliwa na polisi. Habari zilizopatikana kutoka Ikwiriri zinasema, baada wananchi kupata taarifa za kifo cha mkulima kisha kushiriki katika mazishi yake, ndipo walipoanza kuwasaka wafugaji popote walipo. Bila kujali kama walihusika au la katika mauaji hayo, wakulima hao wakiwa na silaha za jadi ikiwemo mishale, walivamia nyumba kadhaa zinazodaiwa kuwa za wafugaji na kuzichoma moto. Taarifa zinasema wakulima hao waliungana na wananchi wengine kuwawinda wafugaji popote walipo kwa lengo la kulipiza kisasi cha mauaji hayo. Aidha, walikwenda kwenye Kituo cha Polisi Ikwiriri wakitaka wakabidhiwe watuhumiwa wa mauaji ya mkulima huyo ili wawashughulikie. Katika vurugu hizo, kundi hilo la wapiganaji lilivunja duka la dawa lililopo Ikwiriri na kupora dawa zote zilizokuwemo. Pia kundi hilo liliweka mawe na magogo kwenye Barabara Kuu itokayo Dar es Salaam kwenda Mtwara na kusababisha magari kusimama kwa zaidi ya saa sita. Wakati magari hayo yakiwa yamesimama, wapiganaji hao walikuwa wakiyarushia mawe na kusababisha mengine kugeuza na kurudi yalikotoka. Habari zinasema magari mengi yaliharibiwa vibaya likiwemo moja la aina ya Toyota Noah hali iliyomlazimu  mmiliki wake, kupiga risasi takriban 10 hewani kwa lengo la kuwatawanya wapiganaji hao, hali iliyosababisha eneo hilo kuwa kama uwanja wa vita. Baadhi ya wafugaji katika eneo hilo na maeneo ya jirani ilibidi watelekeze mifugo yao na kujificha kunusuru maisha yao. Vurugu hizo zilililazimu Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuomba nguvu ya ziada kutoka Makao Makuu ya Jeshi hilo, Dar es Salaam. Helikopta moja na magari yaliyokuwa na Askari wa FFU zaidi ya 80 yalitolewa kwenda kuongeza nguvu. Taarifa zaidi kutoka Ikwiriri zinasema, vurugu hizo ni kubwa ambazo hazijawahi kutokea katika eneo hilo. Inadaiwa kwamba katika siku za hivi karibuni kumekuwa na migogoro ya mara kwa mara kati ya jamii hizo na kwamba wakulima wamekuwa wakikasirishwa na vitendo vya wafugaji kupitisha mifugo kwenye mashamba yao. Migogoro hiyo imekuwa ikizidi pale mifugo hiyo ilipobainika kula mazao yao. Hata hivyo, wafugaji hao wanadaiwa kuwa wamekuwa wakiendelea kupitisha mifugo yao kwenye mashamba ya wananchi.

Airtel yaizindua SUPA 5 ndani ya Coco beach....


Ofa hiyo itawapa wateja zake Huduma ya bure kuperuzi Facebook, Internet bure nyakati za Usiku, SMS 200 pindi wanapotuma SMS 10 kwa Tshs. 30/=, Kuchagua namba tatu na kuongea nazo kwa Nusu shilingi, Kuongea kwa Robo shilingi nyakati  za usiku.....................

Friday, May 18, 2012

Mafisango afariki kwa Ajali ya Gari......

Enzi za Uhai wake akishangilia moja ya mabao aliyofunga
Gari aliyopata nayo ajali kama inavyoonekana
Mafisango alifariki dunia papohapo kwenye ajali wakati wakitoka Club kuelekea nyumbani,walipofika kwenye taa za barabarani Tazara Dar es salaam, Mafisango ambae ndio alikua anaendesha alijaribu kuziwahi taa lakini ghafla akakutana na mwendesha guta ambapo katika kumkwepa gari ilimshinda na kuingia mtaroni leo Alfajiri. Alikua na wenzake kwenye gari ambapo wengine wanne wamepona japokuwa walipata majeraha madogo madogo akiwemo mdogo wake ambae amesajiliwa na timu ya Simba. Mwili wa marehemu utaagwa kesho kwenye Viwanja vya TCC, kabla ya kusafirishwa Nyumbani kwao. Mafisango atakumbukwa kwa mengi aliyofanya katika Klabu yake ya Simba S.C, pamoja na Timu ya Taifa ya Rwanda. Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema Peponi, Ameni!!!

Wednesday, May 16, 2012

Taifa Stars na mwonekano mpya...........

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania bara, Kim Poulsen amekosa kuwachagua katika kikosi chake baadhi ya wachezaji wa muda mrefu wa timu ya taifa. Poulsen kutoka Denmark, amewachagua wachezaji wapya kuwa miongoni mwa wachezaji 22 wa timu ya Taifa Stars. Juhudi hizo ni miongoni mwa maandalizi ya kocha huyo kwa mashindano ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2014, Ameamua kuwatema baadhi ya wachezaji wenye uzoefu wa muda mrefu na kuwachagua vijana wadogo zaidi. "Nimeamua kuwachagua vijana hawa wadogo kwa kuwa ninaamini wataweza kuifanya kazi hiyo ya timu ya taifa", alielezea. Poulsen aliwahi kuifunza timu ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 na vile vile miaka 20, kabla ya kurithi kazi ya raia mwenzake wa Sweden, na ambaye majina yanafanana, Jan Poulsen. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 52 ameamua kutowaalika wachezaji wa zamani kama nahodha Shadrack Nsajigwa, Nadir Haroub, Henry Joseph, Nizal Khalfan na Abdi Kassim. Kinyume na hayo, ameamua kumchukua tena mshambulizi mwenye umri mdogo Mbwana Samata, ambaye huichezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, na ambaye alikuwa ametupwa nje na kocha wa awali Jan Poulsen. Wachezaji wengine walioalikwa kujiunga na timu ya taifa kwa mara ya kwanza miongoni mwa vijana waliopo katika timu ya chini ya umri wa miaka 20 ni pamoja na Ramadhani Singano, Edward Christopher na Frank Domayo. "Kuna matumaini siku zijazo kupitia timu hii, na ninaamini mchezo wao utastawi na kustawi", alielezea Poulsen. Kikosi kitaanza mazoezi yake kikiwa kambini kuanzia Jumatano, kwa nia ya kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi, tarehe 26 mwezi huu wa Mei. 

Kikosi cha Tanzania kina wachezaji;
Kipa: Juma Kaseja (Simba), Mwadini Ally (Azam), Deogratius Munishi (Mtibwa Sugar)
Walinzi: Nassor Masoud Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Amir Maftah (Simba), Erasto Nyoni (Azam), Kelvin Yondani (Simba), Waziri Salum (Azam), Shomari Kapombe (Simba) na Juma Nyoso (Simba)
Kiungo cha Kati: Mwinyi Kazimoto (Simba), Salum 'Sure Boy' Abubakar (Azam), Nurdin Bakari (Yanga), Jonas Mkude (Simba), Shabani Nditi (Mtibwa Sugar), Edward Christopher (Simba), Mrisho Ngasa (Azam) Frank Domayo (JKT Ruvu)
Washambulizi: Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, DR Congo), Ramadhan Singano (Simba), Simon Msuva (Moro United), Haruna Moshi (Simba), John Bocco (Azam)

Tuesday, May 15, 2012

Airtel yazindua Ofa ya SUPA 5....

Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel ‘AIRTEL SUPA 5’ itakayotoa ofa tano kuwafaidisha wateja kuongea kwa NUSU Shilingi kwa sekunde siku nzima kwa marafiki Airtel-Airtel, pia wateja wote wataongea kwa ROBO Shilingi kwa sekunde usiku kucha Airtel-Airtel, kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima endapo mteja atatuma SMS10 tu kwa 30Tshs, facebook burepamoja na kuburudika intaneti ya bure usiku mzima kwa wateja wote.
Meneja Masoko wa Airtel Bi Rahma Mwapachu akifafanua jambo jinsi ya kupata facebook bure kupitia ofa za AIRTEl SUPA 5 mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani). Hafla hiyo ya uzinduzi  huo umefanyika leo katika ofisi za Airtel Makao makuu, Ili mteja uweze kuingia na kutumia huduma hii unatakiwa kujiunga kwa kupiga *149*99#. Kisha utapata ujumbe utakaokuhitaji kuchagua muda maalum wa kutumia OFA hii yaani WIKI MOJA au SIKU MOJA, alafu utaweza kujaza namba zako maalum 3 za ndugu, jamaa, au rafiki utakazotaka kuwa unazipigia simu kwa NUSU shilingi siku nzima ndani ya muda wako wa ofa, Mbali na hilo huduma hii ya SUPA 5 inatoa nafasi kwa mteja yeyote wa malipo ya kabla wa Airtel ambaye amejiunga lakini pia muda wake ukiisha anaweza kujiunga tena kwa mara nyingine, lengo ni kumpa mteja wa Airtel nafasi ya kujiachia kwa unafuu na uhakika zaidi muda wowote na sehemu yoyote nchini Tanzania. Huduma ya Airtel SUPA 5 ni ya kudumu, lengo lake ni kutimiza mahitaji ya wateja wetu nchini bila kujali aina ya simu anayotumia huku tukitoa mawasiliano bora kupitia mtandao wetu ulionea kila mahali nchini Tanzania.
Jiunge na OFA hii ya Airtel SUPA 5 kwa kupiga *149*99#.

Raul atua Al Sadd-Qatar

Raul Gonzalez ''Blanco'' ametua katika klabu ya Al Sadd ya Doha,Qatar. Mwanasoka huyo mkongwe wa Hispania bado ameendelea kuvaa jezi namba 7. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34 aliyewika katika klabu ya Real Madrid, ametua timu hiyo akitokea Schalke 04 ya Ujerumani, aliyoichezea kwa misimu miwili.

Scholes to play on another season

Manchester United midfielder Paul Scholes will play on for another season, the Premier League club's manager Alex Ferguson said on Monday.
The 37-year-old former England international quit at the end of the 2010-11 campaign but came out of retirement in January and played a key role in helping United finish second in the Premier League behind Manchester City.
Despite playing only half the season, Scholes finished third in the vote for England's Footballer of the Year, behind Arsenal striker Robin van Persie and United teammate Wayne Rooney.

Jennifer Hudson Takes In A Roller Coaster Ride After Brother-In-Law Convicted Of Family Murders

J Hud is about that roller coaster Life!
This past weekend, Jennifer Hudson and her fiance David Otunga visited Six Flags Great America in Chicago to relax and release after her brother-in-law William Balfour was convicted of killing her mother, brother and nephew in court.  On Friday, William was found guilty on all counts of murder as well as home invasion, armed robbery and kidnapping and faces mandatory life in prison. Jennifer broke down as the verdict was read, however, she was able to get some smiles in the next day at the theme park.  A family friend tells The Chicago Times:
Going to Great America was a great idea — a way for Jennifer, her sister and [fiancé] David [Otunga ] to blow off some steam and release the horrible tension they’ve been dealing with for so many months.
They also added that J hud and David are looking forward to putting the trial behind them and planning their wedding and future:
news from( necole blog)

JK azindua Libeneke jipya la CCM mjini Dodoma




Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye,Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama.
 Libeneke la CCM linalokwenda kwa link hii http://www.ccmchama.blogspot.com/ Muonekano wa Tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
  
Waweza itembelea kwa Link Hii http://www.ccm.or.tz/


Monday, May 14, 2012

Dr Phil reaches out to morbidly obese 23-year-old who posted desperate plea for help on YouTube

A video plea by a morbidly-obese 22-year-old has earned him the help of television personality Dr Phil.
The man, named Robert Gibbs, who weighs between 600 and 700 lbs., attracted the attention of specialists since he made a YouTube video five days ago.
In the video, which has now been viewed nearly 900,000 times, the California native reveals his fear that he will die before his niece and nephew grow up.
Dr.Phil

Robert said,
'I'm making this video because I don't know what else to do.
'I've tried losing weight on my own, tried doing everything possible, been on diet, been hospitalised, always done what needed to be done, but then, I gained the weight back.
The 23-year-old lives with his mother, sister, and her two children in Livermore, California outside of Oakland.
His sister, Nichole Gibbs, said that she didn’t know her brother was making the video until reporters began calling to interview her.
‘I'm happy he's doing this and he's getting a lot of feedback on it,’ she told Mercury News.
‘It's going to help him, and I'm glad for that.’
In the 3-minute video, Mr Gibbs says that he has tried diets and hospital treatments to help him lose weight but nothing has worked.
‘'I'm just trying to get some help from somebody, a nutritionist, a personal trainer, Dr Phil, Biggest Loser, anything or anybody who knows.'
And that he did, as alumni of the show The Biggest Loser have also reached out and offered encouragement.
Mr Gibbs asked viewers to post the clip to improve his chances of finding an expert to help him.
He says: 'Please repost this video, get it to go viral, get it to be one of the most watched videos ever, eventually someone will see it and then maybe I can get some help.
'For anybody who is going to make fun of me, I really don't care. This is my last hope.
'I'm really scared that I'm not going to be able to watch my niece or my nephew grow up, and I'm not going to be able to have a family of my own.
'I'm asking for somebody's help. That's all I can really say, it's from the heart.'
Dr.Phil his on action helping Robert at the moment and we hope Gibbs dreams came true.

KANYE WEST AND KIM KARDASHIAN AT THE COURTSIDE...

Kim Kardashian and Kanye West were spotted courtside at a basketball game on Saturday night, putting on a public display affection (PDA) show.
The new loved-up couple could barely take their eyes off each other as they sat front row at the LA Lakers play against the Denver Nuggets. Kim, dressed up to the nines in a black leather skintight dress, which her boobs were almost spilling out of, giggled as Kanye whispered sweet nothings in her ear.
Although at one point Kim, who eventually let loose her initially tied up hair , looked a little bored and was caught yawning while Kanye wrapped his arm around her shoulder and locked hands.
The couple have been dating for several weeks, despite Kim still going through divorce proceedings with Kris Humphries.
Kim will reportedly be flying into London on Tuesday to join Kanye as he prepares for his Watch The Throne tour dates with Jay-Z.

Big Brother Stargame Update: Maneta survives eviction, Liberia and Sierra Leone up for eviction

The first eviction show on Big Brother Stargame witnessed some unexpected twists as all nominated housemates from last week’s random nomination in the Downvile House were evicted from Downvile.
Zimbabwe’s pair of Teclar and Maneta was first to be asked to leave the house. Their fellow Housemates did not seem too gutted about the news and proclaimed “There are now 26 of us, more food for us..more drinks”. Maneta simply made a dramatic beeline for the Eviction doors, telling Julio not to touch her, as he reached for a hug. She was quick to leave the house while her partner took her time to bid her farewells and to beat Big Brother’s countdown.  Teclar told host, IK that she didn’t want to talk but when asked if she had a thing for Seydou she was quick to explain that she didn’t have any romantic feelings for Seydou or any other person in the house.  She added that it was particulary tough for her to find out that she had been nominated for eviction only minutes after entering the house.
Just as Julio and the bubbly Hilda from Tanzania were getting ready to celebrate their survival, IK announce that they also had to leave the house. The announcement sparked speculations as housemates tried to figure out what was happening. Julio told IK, “This is crazy, don’t know what’s going on”. Hilda said she was in shock and pain when she found out she was up for eviction moments after entering the Big Brother House.
IK then received the envelope with the week’s result and told Maneta to head into the posh Upville House to now compete as an individual while her partner Teclar together with Julio and Hilda went back home.
Soon IK made a call into the Downville House to make another random nomination. Unfortunately, the debutant countries, Sierra Leone and Liberia came up for eviction. This means that the housemates up for eviction are Luke and Yadel from Liberia and Dalphin and Zainab from Sierra Leone. Africa must now vote for which housemate and not group they want to save.
Here’s how Africa voted this week :
Angola: Julio
Botswana: Maneta
Ghana: Hilda
Kenya: Maneta
Liberia: Hilda
Malawi: Maneta
Namibia: Maneta
Nigeria: Hilda
South Africa: Maneta
Sierra Leone: Hilda
Tanzania: Hilda
Uganda: Hilda
Zambia: Maneta
Zimbabwe: Maneta
Rest of Africa: Maneta
Total: Hilda = 6; Julio = 1; Maneta = 8; Teclar = 0 (Total: 15 Votes)

Saturday, May 12, 2012

Crazy GK, MwanaFalsafa na AY Katika Project Ya Pamoja

Wanamuziki hawa waliokuwa wanaunda kundi la East Coast Team {E.C.T] lililotamba sana na Track zake kama Hii Leo na zingine kwa pamoja likiwa na maskani yake Upanga, Dar Es Salaam kwa sasa wanafanya Project ya pamoja katika kuendeleza sanaa ya muziki wetu hapa Tanzania.
Kwa tetesi za fasta kutoka kwa msongo team project inanukia na very soon tutapata full data kusu kinachopikwa na wanajeshi hawa...

Obama aunga mkono ndoa za jinsia moja

Rais Obama anasema amejadili suala hilo na familia, marafiki na majirani kwa muda mrefu na kutilia maanani wafanyakazi wenzake na askari ambao wamejikita katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja .Rais Obama ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na idhaa ya kiingereza ya BBC.Hatimaye amekuja na hitimisho kwamba ndoa zilizozoeleka hazikidhi matarajio ya wote.
Mpinzani wake katika uchaguzi wa rais wa mwaka huu, Mitt Romney, wa chama cha Republican amesema bado anabakia kupinga ndoa za watu wa jinsia moja.
Amesema wakati akiunga mkono ndoa ambazo hazijatambuliwa kisheria, kwa maoni yake, suala la ndoa za kawaida ni jambo lingine tofauti na hizo ndoa za jinsia moja.
Kauli ya Bwana Obama, imekuja siku moja baada ya jimbo la North Carolina kupitisha mabadiliko ya katiba ya jimbo hilo, yanayofafanua kuwa ndoa ni muungano tu kati ya mwanaume na mwanamke.

Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shule za Msingi za Maarifa, Mwangaza na JICA zilizopo Gongolamboto Jijini DSM

Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Quinton Fortunewa pili kulia, akionyesha waandishi wa habari (hawako pichani) baadhi ya vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye michuano ya soka ya kimataifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars jana kwenye Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technologia Mh. Professa Makame Mbarawa, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mashindano wa TFF Sandy Kawembe, Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sam Elangallor na Mkurugenzi Bidhaa Airtel Afrika Obina Justine 

mchezaji wa zamani wa manchester united Quinton Fortunewa akionesha manjojo ... 

 Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza Quinton Fortune, akifurahia na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Maarifa baada ya kukabidhi madawati 30, mipira 40 na jesi seti tatu zilizotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania

 Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY,akitumbwiza katika hafla hiyo.

IT'S GETTING HOT IN HERE: 'KANYE WEST RAPS ABOUT MARRYING KIM KARDASHIAN'...!!!

Kanye West is prepping some new material: his vows.
One month after the Grammy winner professed his love for gal pal Kim Kardashian, 31, on his single "Way Too Cold" (formerly "Theraflu"), he's singing about her again, a source tells Us Weekly.
On an upcoming track by hip-hop artist Pusha T, West, 34, raps, "I saw you in the club in a white dress/Now I want to put you in a white dress."
The lyrics are hardly hot air, says a second source: "Kim and Kanye are 100 percent having conversations about marriage."
Kardashian and the rapper first stepped out as a couple in NYC in March, but an insider close to the duo assures Us their romance was years in the making.
West pursued Kardashian "for a long time" the source explained. Echoed another source, "They've been friends for years. Kim is ready to give it a try now."

MAKING OF THE SONG MBONI YANGU /FUNDRAISING SONG FOR BONGO ARTIST SAJUKI...

Peter msechu

ali kiba

viky kamata

mwana fa

prof jay

afande sele,amini,ditto
wema sepetu

na wengine kama Mh.Zitto Kabwe ,Halima Mdee ,Mzee yusuf ,Barnaba ,Chidi benz ,Mh.January makamba.....e.t.c