Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye,Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne
kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine
waandamizi wa Chama.
Libeneke la CCM linalokwenda kwa link hii http://www.ccmchama.blogspot.com/ Muonekano wa Tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Waweza itembelea kwa Link Hii http://www.ccm.or.tz/
No comments:
Post a Comment