Raul Gonzalez ''Blanco'' ametua katika klabu ya Al Sadd ya Doha,Qatar. Mwanasoka
huyo mkongwe wa Hispania bado ameendelea kuvaa jezi namba 7. Mkongwe
huyo mwenye umri wa miaka 34 aliyewika katika klabu ya Real Madrid, ametua timu hiyo akitokea Schalke 04 ya Ujerumani, aliyoichezea
kwa misimu miwili.
No comments:
Post a Comment