Mchezaji
wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Quinton Fortunewa pili
kulia, akionyesha waandishi wa habari (hawako pichani) baadhi ya vifaa
vya michezo vitakavyotumika kwenye michuano ya soka ya kimataifa kwa
vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars jana kwenye
Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kati ni Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Technologia Mh. Professa Makame Mbarawa, wa kwanza kulia ni
Mkurugenzi Mashindano wa TFF Sandy Kawembe, Mkurugenzi Mtendaji wa
Airtel Tanzania Sam Elangallor na Mkurugenzi Bidhaa Airtel Afrika Obina
Justine
mchezaji wa zamani wa manchester united Quinton Fortunewa akionesha manjojo ...
Mchezaji
wa zamani wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza Quinton Fortune,
akifurahia na wanafunzi wa shule ya Msingi ya Maarifa baada ya kukabidhi
madawati 30, mipira 40 na jesi seti tatu zilizotolewa na kampuni ya
simu za mkononi ya Airtel Tanzania
Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yesaya maarufu kama AY,akitumbwiza katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment