Thursday, May 31, 2012

BRENDAN RODGERS NEW LIVERPOOL MANAGER?????

39 years Brendan Rodgers has finally agreed to sign 3 years contract at Anfield..Liverpool sacked Kenny Daglish 16 m...

STARS WALIONDOKA LEO ALFAJIRI KWENDA IVORY COAST KWA AJILI YA MTANANGE BAINA YAO.

...

Wednesday, May 30, 2012

WEMA SEPETU ENGAGED TO MWINYI WA MACHOZI BAND

...

CLASSICAL MUSIC CONCERT

...

Airtel yakabidhi Vifaa vya michezo...

Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa shule za sekondari 24, Kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya vijana chini ya miaka 17 maarufu kama ''Airtel Rising Star''. Inayotarajiwa kuanza Mei 30, Lengo kubwa ni kuinua vipaji kwa vijana wenye chini ya miaka 17. Akikabidhi vifaa hivyo kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) Sanifu Kondo, Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde, alisema jumla ya timu 24 zinatarajiwa kushiriki mashindano...

Monday, May 28, 2012

Hali tete Visiwani Zanzibar

Askari wa kutuliza ghasia wakifanya doria mitaani Waandamaji waliosababisha vurugu kubwa Visiwani Zanzibar wakiendelea na maandamano yao, Gari na Jengo la Kanisa la TAG baada ya kuchomwa m...

Sunday, May 27, 2012

Stars yatoka sare na Malawi ndani ya Uwanja wa Taifa.....

Timu ya Taifa 'Taifa Stars' leo imeshindwa kutamba mbele ya Malawi katika mchezo wa kujipima nguvu kabla ya michezo ya kusaka tiketi ya kombe la dunia mwaka 2014 ambapo Taifa Stars itwakwaana na Ivory Coast na Malawi kuwavaa Waganda. Katika mchezo wa leo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na mchezo ukimalizika kwa sare ya bila kufungana huku Taifa Stars wakifanya makosa ambayo yange igharimu timu hiyo hii leo kama Malawi...

BARCELONA WIN CUP IN GUARDIOLA SWANSONG.....

Barcelona gave coach Pep Guardiola the perfect send off on Friday, beating Athletic Bilbao 3-0 in Madrid to win the Spanish Cup in the coach's last match in charge after a memorable four seasons in the Catalan hot seat. Lionel Messi, with his 73rd goal of the season, and a Pedro Rodriguez double finished off the Basque side inside the first half an hour and delivered Guardiola his 14th and final trophy at the club. Guardiola leaves the...

Friday, May 25, 2012

Mwenyekiti wa Yanga-Lloyd Nchunga Ajiuzulu

MWENYEKITI wa Yanga, Wakili Lloyd Baharagu Nchunga ametangaza kujiuzulu wadhifa wake jioni hii ofisini kwake, jengo la NSSF, barabara ya Bibi Biti, Dar es Salaam, TAARIFA YA KUJIUZULU KWA NCHUNGA: LLOYD NCHUNGA BIHARAGU C/O LLOYD ADVOCATES, Morogoro/Bibi TIti  Mohamed Rd,7th Floor, J.K. Nyerere Pension towers P.BOX 75111, Dar-Es- Salaam,Tanzania.                                                                 ...

Thursday, May 24, 2012

Serengeti na NMB watoa misaada kwa Twiga Stars.

Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), kwa kushirikiana na Benki ya NMB, wameichangia timu ya taifa ya soka ya wanawake ''Twiga Stars'' Tshs. Milioni 30 pamoja na vifaa vya michezo, vyenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 5.5. Mafuru alisema baada ya hivi karibuni kutangaza kudhamini tuzo za wanamichezo bora za Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), walifuatwa na serikali kuombwa kuisaidia Twiga Stars, ambayo haina mdhamini. Alisema...

Tuesday, May 22, 2012

Mapigano kati ya Wakulima na Wafugaji Ikwiriri, hali bado tete.......

MAPIGANO makali kati ya wakulima na wafugaji yaliyozuka katika eneo la Ikwiriri wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusababisha vifo, majeruhi, nyumba kuchomwa moto, maduka kuvunjwa na barabara kufungwa kwa zaidi ya saa sita. Chanzo cha mapigano hayo, kinaelezwa kuwa ni kutokana na kuuawa mkulima wa Ikwiriri, Shamte Seif (60) na wafugaji katika ugomvi uliotokana na ng’ombe kuingia kwenye shamba lake. Hadi jana jioni, watu kumi na moja walikuwa wameripotiwa kujeruhiwa, tisa kati ya hao wamelazwa katika Kituo cha Afya Ikwiriri na wawili walihamishiwa...

Airtel yaizindua SUPA 5 ndani ya Coco beach....

Ofa hiyo itawapa wateja zake Huduma ya bure kuperuzi Facebook, Internet bure nyakati za Usiku, SMS 200 pindi wanapotuma SMS 10 kwa Tshs. 30/=, Kuchagua namba tatu na kuongea nazo kwa Nusu shilingi, Kuongea kwa Robo shilingi nyakati  za usiku.....................

Friday, May 18, 2012

Mafisango afariki kwa Ajali ya Gari......

Enzi za Uhai wake akishangilia moja ya mabao aliyofunga Gari aliyopata nayo ajali kama inavyoonekana Mafisango alifariki dunia papohapo kwenye ajali wakati wakitoka Club kuelekea nyumbani,walipofika kwenye taa za barabarani Tazara Dar es salaam, Mafisango ambae ndio alikua anaendesha alijaribu kuziwahi taa lakini ghafla akakutana na mwendesha guta ambapo katika kumkwepa gari ilimshinda na kuingia mtaroni leo Alfajiri. Alikua na...

Wednesday, May 16, 2012

Taifa Stars na mwonekano mpya...........

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania bara, Kim Poulsen amekosa kuwachagua katika kikosi chake baadhi ya wachezaji wa muda mrefu wa timu ya taifa. Poulsen kutoka Denmark, amewachagua wachezaji wapya kuwa miongoni mwa wachezaji 22 wa timu ya Taifa Stars. Juhudi hizo ni miongoni mwa maandalizi ya kocha huyo kwa mashindano ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la...

Tuesday, May 15, 2012

Airtel yazindua Ofa ya SUPA 5....

Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel ‘AIRTEL SUPA 5’ itakayotoa ofa tano kuwafaidisha wateja kuongea kwa NUSU Shilingi kwa sekunde siku nzima kwa marafiki Airtel-Airtel, pia wateja wote wataongea kwa ROBO Shilingi kwa sekunde usiku kucha Airtel-Airtel, kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima endapo mteja atatuma SMS10 tu kwa 30Tshs, facebook...

Raul atua Al Sadd-Qatar

Raul Gonzalez ''Blanco'' ametua katika klabu ya Al Sadd ya Doha,Qatar. Mwanasoka huyo mkongwe wa Hispania bado ameendelea kuvaa jezi namba 7. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 34 aliyewika katika klabu ya Real Madrid, ametua timu hiyo akitokea Schalke 04 ya Ujerumani, aliyoichezea kwa misimu miwi...

Scholes to play on another season

Manchester United midfielder Paul Scholes will play on for another season, the Premier League club's manager Alex Ferguson said on Monday. The 37-year-old former England international quit at the end of the 2010-11 campaign but came out of retirement in January and played a key role in helping United finish second in the Premier League behind Manchester City. Despite playing only half the season, Scholes finished third in the vote for...

Jennifer Hudson Takes In A Roller Coaster Ride After Brother-In-Law Convicted Of Family Murders

J Hud is about that roller coaster Life! This past weekend, Jennifer Hudson and her fiance David Otunga visited Six Flags Great America in Chicago to relax and release after her brother-in-law William Balfour was convicted of killing her mother, brother and nephew in court.  On Friday, William was found guilty on all counts of murder as well as home invasion, armed robbery and kidnapping and faces mandatory life in prison. Jennifer broke...

JOSE CHAMELEONE CONFIRMS PERFORMING @ THE LONDON 2012 OLYMPICS...!!!

  ...

JK azindua Libeneke jipya la CCM mjini Dodoma

  Mwenyekiti waChama Cha Mapinduzi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Wapili kushoto ni katibu mwenezi wa CCM Nape Moses Nnauye,Watatu kushoto ni Makamu wa CCM bara Pius Msekwa, Wanne kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Bwana Wilson Mukama na viongozi wengine waandamizi wa Chama.  Libeneke la CCM linalokwenda kwa link hii http://www.ccmchama.blogspot.com/ Muonekano wa Tovuti ya CCM iliyozinduliwa mjini Dodoma jana jioni na Mwenyekiti wa...

Monday, May 14, 2012

Dr Phil reaches out to morbidly obese 23-year-old who posted desperate plea for help on YouTube

A video plea by a morbidly-obese 22-year-old has earned him the help of television personality Dr Phil. The man, named Robert Gibbs, who weighs between 600 and 700 lbs., attracted the attention of specialists since he made a YouTube video five days ago. In the video, which has now been viewed nearly 900,000 times, the California native reveals his fear that he will die before his niece and nephew grow up. Dr.Phil Robert said, 'I'm...

R.KELLY- SHARE MY LOVE

...

FULL MATOKEO YA PREMIER LEAGUE

...

KANYE WEST AND KIM KARDASHIAN AT THE COURTSIDE...

Kim Kardashian and Kanye West were spotted courtside at a basketball game on Saturday night, putting on a public display affection (PDA) show. The new loved-up couple could barely take their eyes off each other as they sat front row at the LA Lakers play against the Denver Nuggets. Kim, dressed up to the nines in a black leather skintight dress, which her boobs were almost spilling out of, giggled as Kanye whispered sweet nothings...

Big Brother Stargame Update: Maneta survives eviction, Liberia and Sierra Leone up for eviction

The first eviction show on Big Brother Stargame witnessed some unexpected twists as all nominated housemates from last week’s random nomination in the Downvile House were evicted from Downvile. Zimbabwe’s pair of Teclar and Maneta was first to be asked to leave the house. Their fellow Housemates did not seem too gutted about the news and proclaimed “There are now 26 of us, more food for us..more drinks”. Maneta simply made a dramatic beeline...

Saturday, May 12, 2012

Crazy GK, MwanaFalsafa na AY Katika Project Ya Pamoja

Wanamuziki hawa waliokuwa wanaunda kundi la East Coast Team {E.C.T] lililotamba sana na Track zake kama Hii Leo na zingine kwa pamoja likiwa na maskani yake Upanga, Dar Es Salaam kwa sasa wanafanya Project ya pamoja katika kuendeleza sanaa ya muziki wetu hapa Tanzania. Kwa tetesi za fasta kutoka kwa msongo team project inanukia na very soon tutapata full data kusu kinachopikwa na wanajeshi hawa...

LOOKING FORWARD TO TYLER PERRY'S "MADEA'S WITNESS PROTECTION"...!!!

...

Obama aunga mkono ndoa za jinsia moja

Rais Obama anasema amejadili suala hilo na familia, marafiki na majirani kwa muda mrefu na kutilia maanani wafanyakazi wenzake na askari ambao wamejikita katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja .Rais Obama ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na idhaa ya kiingereza ya BBC.Hatimaye amekuja na hitimisho kwamba ndoa zilizozoeleka hazikidhi matarajio ya wote. Mpinzani wake katika uchaguzi wa rais wa mwaka huu, Mitt Romney, wa chama cha Republican amesema bado anabakia kupinga ndoa za watu wa jinsia moja. Amesema wakati akiunga mkono...

JINSI GARI LA TP MAZEMBE LILIVYOVAMIWA HUKO SUDAN.

  ...

Airtel Yatoa Msaada wa Madawati na Mipira kwa shule za Msingi za Maarifa, Mwangaza na JICA zilizopo Gongolamboto Jijini DSM

Mchezaji wa zamani wa Manchester United ya Uingereza Quinton Fortunewa pili kulia, akionyesha waandishi wa habari (hawako pichani) baadhi ya vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye michuano ya soka ya kimataifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars jana kwenye Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technologia Mh. Professa Makame Mbarawa, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi...

Friday, May 11, 2012

nyeti za mwanaume kung'ang'ania kwa mwanamke wa mtu

...

IT'S GETTING HOT IN HERE: 'KANYE WEST RAPS ABOUT MARRYING KIM KARDASHIAN'...!!!

Kanye West is prepping some new material: his vows. One month after the Grammy winner professed his love for gal pal Kim Kardashian, 31, on his single "Way Too Cold" (formerly "Theraflu"), he's singing about her again, a source tells Us Weekly. On an upcoming track by hip-hop artist Pusha T, West, 34, raps, "I saw you in the club in a white dress/Now I want to put you in a white dress." The lyrics are hardly hot air,...

MAKING OF THE SONG MBONI YANGU /FUNDRAISING SONG FOR BONGO ARTIST SAJUKI...

Peter msechu ali kiba viky kamata mwana fa prof jay afande sele,amini,ditto wema sepetu na wengine kama Mh.Zitto Kabwe ,Halima Mdee ,Mzee yusuf ,Barnaba ,Chidi benz ,Mh.January makamba.....e....