- The African Union on Saturday inaugurated its new high-rise headquarters in the Ethiopian capital, built and donated by China at a cost of $200m.“The towering complex speaks volumes about our friendship to the African people, and testifies to our strong resolve to support African development,” said Jia Qinglin, chairman of China’s political advisory body, the People’s Political Consultative Conference.The sleek edifice — Addis Ababa’s tallest — will host the African Union summit which gathers African heads of state.Significant event“This complex is a reflection of the new Africa,” said African Union chairman, Equatorial Guinea’s President Teodoro Obiang Nguema at the opening ceremony. “This is a highly significant event in the life of our organisation.”The building, which towers above the Ethiopian capital, was opened ahead of the start Sunday of the pan-African body’s 18th ordinary summit, a bold symbol of China’s rapidly changing role in Africa.Construction was wholly funded by the Chinese government, with even the furnishings paid for by the Asian powerhouse. The site boasts three conference centres, a helipad and office space for 700 people.
Pages
▼
Pages
▼
Monday, January 30, 2012
Hakunagaaaaaaa!!!
Vijana kutoka Bongo wakionesha watu wa East Africa(burundi, kenya, rwanda na uganda) jinsi ya kucheza kiduku na step za bondeni katika tamasha lililofanyika kampala.
Tamasha liliandaliwa na High Water Foundation ku expose talent za vijana katika fani zao mbalimbali.
Tamasha liliandaliwa na High Water Foundation ku expose talent za vijana katika fani zao mbalimbali.
Thursday, January 26, 2012
NAFASI ZA KAZI ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
lecturer 3 posts (civil engineering ,structural engineering ,irrigation engineering ,chemistry ,electrical engineering ,)Qualification :holder of doctorate PhD degree in relevant field.
Tuesday, January 24, 2012
Monday, January 23, 2012
Saturday, January 21, 2012
DIDIER DROGBA KUBAKI STAMFORD BRIDGE..
hatimaye mchezaji striker wa chelsea Didier Drogba kusema atabaki Stamford Bridge mapaka apo June.June ndio mkataba wa mchezaji Drogba unaisha,ingawa timu ya Chelsea inataka kumuongezea mchezaji uyo mda wa miezi 12.
Friday, January 20, 2012
COMMON KUMJIBU BIRDMAN KUHUSU DRAKE KUJIKUSANYA NA YMCMB KUSHINDANA NAE..
Common amjibu Birdman na kumwambia kuwa kwanini alete kundi zima akati yeye ni solo,anataka one to one match ili waone kati ya yeye na Drake nani MC bora...kama anataka makundi Common kasema ata team up na G.O.O.D music brothers kina Kanye west.
Thursday, January 19, 2012
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Yatangaza Ajira kwa Walimu
Kwa waombaji wote waliomba nafasi za Ajira kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, majina yao yametangazwa kupitia tovuti ya Wizara hiyo-http://www.moe.go.tz
Tuesday, January 17, 2012
50 CENT KUWAOMBA MSAMAHA INTERSCOPE RECORDS..
50 CENT AWAOMBA MSAMAHA INTERSCOPE RECORDS,KWA KUWA SHUTUMU KWA KUVUJISHA NYIMBO ZAKE NAKUFANYA ALBUM DELAY...MPAKA SASA INTERSCOPE AWAJATOA JIBU...
THIS FRIDAY AT BARISTA...FREAKY FRIDAY...
DONT MISS THIS FRIDAY AT BARISTAS FOR ALL LOVERS OF BATA IN ARUSHA...MEET PROFESIONAL DJZ IN TOWN,GOOD SERVICE AND FOOD... COCKTAILS AND SHEESHA AVAILABLE...DONT MISS..U WILL BE A LOSER UKIKOSA....
MASHABIKI WA COMPLAIN KUHUSU ALBUM COVER YA BEYONCE...
MASHABIKI WALALAMIKA KUWA KWENYE COVER BEYONCE ANARANGI TOFAUTI NA YAKE BAADA YAKUONEKANA MWEUPE SANA..NI LATEST ALBUM 4...CHEKI THE PICTURE..
Thursday, January 12, 2012
50 CENT NA SMS AUDIO HEADPHONES
50 CENT akiwa kwenye 2012 Consumer Electronics Show (CES) uko Las Vegas..alizindua headphones na kuongea na mashabiki pia...sms headphones ni set chini ya msanii 50 cent
REDSUN AJA NA MALAIKA REMIX...
Msani Redsun wa Kenya aja na remix ya nyimbo malaika iliyo imbwa na kikongwe Fadhili Williams wa Kenya..
Wednesday, January 11, 2012
MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA..
MZEE FUNDI SAIDI AJULIKANE KWA JINA LA MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI.MAENEO YA KIGOGO ALIPOKUA AKIISHI..
MWANA SISTER AMBER ROSE AJIKITA KWENYE MZIKI..
IDADI YAFIKA 61 WALIOFUKUZWA UDSM..90 WASIMAMISHWA.
Idadi mpaka leo jioni ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar wafikia 61,na 90 wasimamishwa masomo kwa ajili ya uchunguzi...ni wale waliofanya mgomo.
Tuesday, January 10, 2012
Jay z & Beyonce...Blue Ivy Carter..
Beyonce na mumewe JAY Z, inaaminika walilipa kiasi cha dola milioni 1.3 za kimarekani, zaidi ya bilioni mbili za kitanzania ili tu kuimiliki gorofa ya nne ya jengo hilo la hospitali ya Lenox hill New York, wawe wao wenyewe, mtu mwingine asiruhusiwe kabisa kuingia.
ARSENAL YAMCHAPA LEEDS 1-0...
dakika ya 78 gwiji wa soka T.Henry aichapa leeds united bao safi la kichwa... karibu nyumbani ya Arsenal...
Born to funk ft. Mzungu Kichaa -OYA OYA
Although some of you have already come across this track, Caravan Records never sent out an official press release. The release happened rather suddenly through Extended music who released the track in Europe a couple of months ago. The video has spread like wildfire in East Africa and receives allot of airplay particularly on EATV. The two artists are planning to collaborate again. Please contact KichaaMusic@gmail.com for press photos of the two artists, or if you would like to receive a copy of the VIDEO in HD for broadcast.
Sunday, January 8, 2012
Friday, January 6, 2012
AJALI MBAYA..BASI LA TAQWA
Basi la Taqwa linalo fanya safari zake za Dar to KIgali limepata ajali leo eneo la mikese Morogoro na kujeruhi watu kadhaa..Pole kubwa kwa walio jeruhiwa...kutoka kwa msongo team.
Majembe 2011,na bado WANATISHA 2012..
Ali kiba -alitikisa 2011 na dushelele sasa realesed track mpya kali akiwa na mwanadada Lady JD...banger inaitwa single boy.
Diamond Platinum : jembe anatisha mbay...bila kubisha get album yake mpya LALA SALAMA..usikie sumu..alitisha 2011 na bado anatisha.
Mr.Bluu : tila lila ni track iliyo sumbua katika media na bado inasumbua 2012 katika media na clubs..
A.Y:kawakilisha bongo vizuri kwa kufanya colabo na international artist kama Lamaya Gooding ,Romeo na pia kupiga colabo na sauti soul..2012 kwake ni mwaka wa kuleta more good music ,coming soon track akiwa na STL (stella mwangi)..
Joh Makini :jembe la pande za chuga (A-town) bado anakimbiza katufungulia mwaka na hit track bomba...BYE BYE ..alongside G nako..
Chege na Temba: wamefunga mwaka poa sana na hot track inayosumbua...KICHWA KINAUMA..
Barnaba:
Diamond Platinum : jembe anatisha mbay...bila kubisha get album yake mpya LALA SALAMA..usikie sumu..alitisha 2011 na bado anatisha.
Mr.Bluu : tila lila ni track iliyo sumbua katika media na bado inasumbua 2012 katika media na clubs..
A.Y:kawakilisha bongo vizuri kwa kufanya colabo na international artist kama Lamaya Gooding ,Romeo na pia kupiga colabo na sauti soul..2012 kwake ni mwaka wa kuleta more good music ,coming soon track akiwa na STL (stella mwangi)..
Joh Makini :jembe la pande za chuga (A-town) bado anakimbiza katufungulia mwaka na hit track bomba...BYE BYE ..alongside G nako..
Chege na Temba: wamefunga mwaka poa sana na hot track inayosumbua...KICHWA KINAUMA..
Barnaba: