Pages

Pages

Friday, January 6, 2012

Majembe 2011,na bado WANATISHA 2012..

Ali kiba -alitikisa 2011 na dushelele sasa realesed track mpya kali akiwa na mwanadada Lady JD...banger inaitwa single boy.

Diamond Platinum : jembe anatisha mbay...bila kubisha get album yake mpya LALA SALAMA..usikie sumu..alitisha 2011 na bado anatisha.

Mr.Bluu : tila lila ni track iliyo sumbua katika media na bado inasumbua 2012 katika media na clubs..

A.Y:kawakilisha bongo vizuri kwa kufanya colabo na international artist kama Lamaya Gooding ,Romeo na pia kupiga colabo na sauti soul..2012 kwake ni mwaka wa kuleta more good music ,coming soon track akiwa na STL (stella mwangi)..

Joh Makini :jembe la pande za chuga (A-town) bado anakimbiza katufungulia mwaka na hit track bomba...BYE BYE ..alongside G nako..

Chege na Temba: wamefunga mwaka poa sana na hot track inayosumbua...KICHWA KINAUMA..

                                                                         Barnaba:

No comments:

Post a Comment