Pages

Pages

Friday, January 6, 2012

AJALI MBAYA..BASI LA TAQWA

Basi la Taqwa linalo fanya safari zake za Dar to KIgali limepata ajali leo eneo la mikese Morogoro na kujeruhi watu kadhaa..Pole kubwa kwa walio jeruhiwa...kutoka kwa msongo team.

No comments:

Post a Comment