Pages

Pages

Monday, January 30, 2012

Hakunagaaaaaaa!!!

  Vijana kutoka Bongo wakionesha watu wa East Africa(burundi, kenya, rwanda na uganda) jinsi ya kucheza kiduku na step za bondeni katika tamasha lililofanyika kampala.
 Tamasha liliandaliwa na High Water Foundation ku expose talent za vijana katika fani zao mbalimbali.
 

No comments:

Post a Comment