Kiungo wa
Chelsea na England Frank Lampard amefeli kuweza kupona majeraha yake ya
paja na ameondolewa kwenye kikosi cha England kitakachoshiriki michuano
ya Euro 2012 nchini Poland na Ukraine.Lampard, 33 alipata majeraha hayo
kwenye mazoezi jana na alipewa taarifa mbaya na jopo la madaktari
kufuatia vipimo alivyofanyiwa mapema leo.
Kiungo wa Liverpool, Jordan Henderson atambadili Lampard kwenye kikosi cha Roy Hodgson.
No comments:
Post a Comment