Pages

Pages

Monday, February 6, 2012

Washika Bunduki Waiteketeza Rovers



Siku ya jumamosi tumeona washabiki wa arsenal wakipiga kelele sana baada ya kuipiga Blackburn Rovers 7-1. RVP akipiga mabao matau, Oxlade(english-messi) mawili na mkongwe Henry.Next match yao itakua ndani ya stadium of light against Sunderland kabla ya kucheza na Ac milan ndani ya San  Sirro. Je watahimili?

No comments:

Post a Comment