Pages

Pages

Monday, February 6, 2012

Mzanzibari Wa Chelsea

  Je kijana wetu Adam Nditi mwenye damu ya kitanzania ataweza kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza premier league.Saivi yupo katika team ya reserve ya Chelsea kama kiungo mchezeshaji.
      Nditi akichuana na kiungo yoso wa Man United Paul Pogba katika fainali za FA ya vijana

No comments:

Post a Comment