Taifa
Stars na Mambas zitapambana Februari 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam kuanzia saa 10 jioni katika mechi ya kwanza ya mchujo kuwania
tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)
zitakazofanyika mwakani nchini Afrika Kusini.
Mambas
iliwasili nchini Februari 26 mwaka huu,
Kikosi
kamili cha Stars; Makipa Shabani Kado (Yanga), Juma Kaseja (Simba) na
Mwadini Ali (Azam). Mabeki ni nahodha Shadrack Nsajigwa (Yanga), Masoud
Cholo (Simba), Aggrey Morris (Azam), Juma Nyoso (Simba), Juma Jabu
(Simba), Stephen Mwasika (Yanga) na Kelvin Yondani (Simba).
Viungo
ni Jonas Gerard (Simba), Shabani Nditi (Mtibwa Sugar), Shomari Kapombe
(Simba), Salum Abubakar (Azam), Mwinyi Kazimoto (Simba) na Abdi Kassim
(Azam).
Washambuliaji
ni Hussein Javu (Mtibwa Sugar), John Bocco (Azam), Nizar Khalfan
(Philadelphia Union, Marekani), Mrisho Ngasa (Azam), Ally Badru Ally
(Canal Suez, Misri), Uhuru Selemani (Simba) na Nsa Job (Villa Squad).
Kikosi kamili cha Mamba's; Francisco
Muchanga, Clesio Bauque, Almiro Lobo, Manuel Fernandes na Francisco
Massinga. Wengine
ni Joao Rafael, Nelson Longomate, Joao Mazive, Zainadine Chavango,
Osvaldo Sunde, Luis Vaz, Carlos Chimomole, Joao Aguiar, Edson Sitoe,
Jeremias Sitoe, Stelio Ernesto, Elias Pelembe, Eduardo Jumisse na Simao
Mate.
No comments:
Post a Comment