Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo-Dr. Emmanuel Nchimbi pamoja Mbunge wa Singida Mash. Mh. Tundu Lissu kwa pamoja wameumaliza mgogogro uliodumu kwa takribani Miaka Miwili, kati ya Mbunge wa Mbeya Mjini-Joseph Mbilinyi na Mkurugenzi Clouds Media Ndg. Rugemalila Mutahaba. Kutokana na madai yote dhidi yake, sasa Ruge amekubali kuyatekeleza kuanzia Suala la Studio ya Raisi kurudishwa kwa BASATA ili iwe ya wasanii wote, na pia T.F.U ijikabidhi kwa Chama halali cha wasnii yani T.U.M.A. Hata suala la malipo madogo na kubaniwa kwa wasanii pia limejadiliwa na kufikia makubaliano ya utekelezaji.
No comments:
Post a Comment