Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo
kwa njia ya kisasa (Zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini
hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani
kwake, pia analima mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya
hiyo. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza.
No comments:
Post a Comment