Pages

Pages

Saturday, February 25, 2012

HAWACHOKI KUPIGANA TUU!!!

 Leo tarehe 25 feb Rashid "sneki boi" Matumla kwa mara nyingine tena atapambana na Maneno "matmbo wa gongo Oswald katika ukumbi wa PTA sabasaba Dar es salaam
 Nashindwa kuelewa kwanini kila siku mapambano ya nchini ni ya hawa wakongwe tu. Je wanapigania maslahi au bado wanapenda mchezo huu..
 Haya bana, katika pambano lao la desemba mwaka jana walitoka droo..Fikirieni kuwaachia vijana

No comments:

Post a Comment