Kutokana na utumiaji mwingi wa Ugoro kutoka kwa vijana, bei ya ugoro imezidi kupanda kutoka Tshs 500 hadi Tshs 1000. Kipindi cha zamani wa Masai ndo waliokuawa wahusika wakuu wakuuza hii product lakini sasa watu wengi wamejikita katika uuzaji.Wazee wengi wamekua wakilalamika na bei hii ya kihuni
No comments:
Post a Comment