Ndio mara ya kwanza kwa dobi wa kisasa kuendesha biashara mjini Mogadishu baada ya miaka ishirini ya vita kumalizika.Wateja wa kwanza ni wabunge ,wafanyakazi wa non governmental organizations.mwanzoni watu wa somalia ilibidi watume suti za Nairobi,Tanzania na nchi za karibu ili suti zisafishwe.
No comments:
Post a Comment