Kilimanjaro premium lager wanakuletea
Kilimanjaro Tanzania music
awards 2012, ni jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012 tunzo mbalimbali
kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live Yule msanii
uliyompigia kura kupanda kwa stage nakuchukua award,huku shangwe za
kutosha, good music plus performs nzito kwa wasanii nguli.
Ni mlimani city hall ndio mahala
pa tukio,sh 75000/= tu kwaVIP huku ukipata buffet dinner plus drinks
bureee na Tsh 20000/= kwa viti vya kawaida na BIA moja ya bure.Sasa hivi
tickets zinapatikana
1. UkumbiwaMlimani city kuanzia jumatatu,
2. Posta - Baraka Garden mtaa wa Azikiwe nyuma ya CRDB Bank.
3. Zizzou Fashion ya Victoria, Sinza naTegeta.
4. Born to Shine Mwenge
5. Robbie One Fashion – Kinondoni
6. Engine Petrol Station – Mbezi.
Kilimanjaro Premium Larger, bonge la kiburudisho!
No comments:
Post a Comment