Monday, January 30, 2012

The African Union on Saturday inaugurated its new high-rise headquarters in the Ethiopian capital, built and donated by China at a cost of $200m. “The towering complex speaks volumes about our friendship to the African people, and testifies to our strong resolve to support African development,” said Jia Qinglin, chairman of China’s political advisory body, the People’s Political Consultative Conference. The sleek edifice — Addis...

Hakunagaaaaaaa!!!

  Vijana kutoka Bongo wakionesha watu wa East Africa(burundi, kenya, rwanda na uganda) jinsi ya kucheza kiduku na step za bondeni katika tamasha lililofanyika kampala.  Tamasha liliandaliwa na High Water Foundation ku expose talent za vijana katika fani zao mbalimbali. &nbs...

Thursday, January 26, 2012

PRESS PLAY.NORTH DWELLERS

...

NAFASI ZA KAZI ARUSHA TECHNICAL COLLEGE

lecturer 3 posts (civil engineering ,structural engineering ,irrigation engineering ,chemistry ,electrical engineering ,)Qualification :holder of doctorate PhD degree in relevant fie...

Tuesday, January 24, 2012

RAIA WA ETHIOPIA 98 WAKIWA CHINI YA ULINZI

raia wa Ethipia 98 wakisubiri kufikishwa mahakamani apo jana kwa kosa la kuingia nchini kimagen...

Monday, January 23, 2012

LAUGH AND GAIN..

...

MSONGO WALL OF FAME @BARISTA PUB

Issa Msongo..CEO Msongo Blogsp...

...

Saturday, January 21, 2012

DIDIER DROGBA KUBAKI STAMFORD BRIDGE..

hatimaye mchezaji striker wa chelsea Didier Drogba kusema atabaki Stamford Bridge mapaka apo June.June ndio mkataba wa mchezaji Drogba unaisha,ingawa timu ya Chelsea inataka kumuongezea mchezaji uyo mda wa miezi ...

Friday, January 20, 2012

COMMON KUMJIBU BIRDMAN KUHUSU DRAKE KUJIKUSANYA NA YMCMB KUSHINDANA NAE..

Common amjibu Birdman na kumwambia kuwa kwanini alete kundi zima akati yeye ni solo,anataka one to one match ili waone kati ya yeye na Drake nani MC bora...kama anataka makundi Common kasema ata team up na G.O.O.D music brothers kina Kanye wes...

KITAMBI NOMA BONANZA IN ARUSHA...THIS SUNDAY.

...

Thursday, January 19, 2012

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Yatangaza Ajira kwa Walimu

Kwa waombaji wote waliomba nafasi za Ajira kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, majina yao yametangazwa kupitia tovuti ya Wizara hiyo-http://www.moe.go...

BELLE 9 - AMERUDI.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platform

BELLE 9 - AMERUDI.mp3 - Hulk Share - Music Distribution Platf...

Tuesday, January 17, 2012

50 CENT KUWAOMBA MSAMAHA INTERSCOPE RECORDS..

50 CENT AWAOMBA MSAMAHA INTERSCOPE RECORDS,KWA KUWA SHUTUMU KWA KUVUJISHA NYIMBO ZAKE NAKUFANYA ALBUM DELAY...MPAKA SASA INTERSCOPE AWAJATOA JIBU...

THIS FRIDAY AT BARISTA...FREAKY FRIDAY...

DONT MISS THIS FRIDAY AT BARISTAS FOR ALL LOVERS OF BATA IN ARUSHA...MEET PROFESIONAL DJZ IN TOWN,GOOD SERVICE AND FOOD... COCKTAILS AND SHEESHA AVAILABLE...DONT MISS..U WILL BE A LOSER UKIKOSA....

MASHABIKI WA COMPLAIN KUHUSU ALBUM COVER YA BEYONCE...

MASHABIKI WALALAMIKA KUWA KWENYE COVER BEYONCE ANARANGI TOFAUTI NA YAKE BAADA YAKUONEKANA MWEUPE SANA..NI LATEST ALBUM 4...CHEKI THE PICTUR...

MATARAJIO YA WAKENYA 2012 - VOA KISWAHILI MTAANI

...

PEA:NIKKI WA PILI FEAT JOH MAKINI & G NAKO

RAPPER NIKKI WA PILI KUJA NA TRACK MPYA KNOWN AS PE...

Thursday, January 12, 2012

50 CENT NA SMS AUDIO HEADPHONES

50 CENT akiwa kwenye  2012 Consumer Electronics Show (CES)  uko Las Vegas..alizindua headphones na kuongea na mashabiki pia...sms headphones ni set chini ya msanii 50 c...

REDSUN AJA NA MALAIKA REMIX...

Msani Redsun wa Kenya aja na remix ya nyimbo malaika  iliyo imbwa na kikongwe Fadhili Williams wa Keny...

Wednesday, January 11, 2012

MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA..

MZEE FUNDI SAIDI AJULIKANE KWA JINA LA MZEE KIPARA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI.MAENEO YA KIGOGO ALIPOKUA AKIISH...

Birdman afunguka kuhusu beef la Drake na Common..

...

MAINO ATABIRI 2012...

Mwanamziki maino atabiri kuwa 2012 mwanadada Rihanna atarudiana na Chris Brown...

MWANA SISTER AMBER ROSE AJIKITA KWENYE MZIKI..

Yule top model mwenye mvuto Amber Rose ajikita kwenye music baada ya kutoa track na kumshirikisha Wiz Khalifa...track inaitwa FAME...ataweza game la mziki kweli..lets see...

BAO BORA 2011...NEYMAR

Bao bora 2011..NEYMAR ni kwere...Santos vs Flame...

IDADI YAFIKA 61 WALIOFUKUZWA UDSM..90 WASIMAMISHWA.

Idadi mpaka leo jioni ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar wafikia 61,na 90 wasimamishwa masomo kwa ajili ya uchunguzi...ni wale waliofanya mgo...

Tuesday, January 10, 2012

CPwaa - "hhmm..."

...

Jay z & Beyonce...Blue Ivy Carter..

Beyonce na mumewe JAY Z, inaaminika walilipa kiasi cha dola milioni 1.3 za kimarekani, zaidi ya bilioni mbili za kitanzania ili tu kuimiliki gorofa ya nne ya jengo hilo la hospitali ya Lenox hill New York, wawe wao wenyewe, mtu mwingine asiruhusiwe kabisa kuing...

ARSENAL YAMCHAPA LEEDS 1-0...

dakika ya 78 gwiji wa soka T.Henry aichapa leeds united bao safi la kichwa... karibu nyumbani ya Arsenal...

...

Born to funk ft. Mzungu Kichaa -OYA OYA

Although some of you have already come across this track, Caravan Records never sent out an official press release. The release happened rather suddenly through Extended music who released the track in Europe a couple of months ago. The video has spread like wildfire in East Africa and receives allot of airplay particularly on EATV. The two artists are planning to collaborate again. Please contact KichaaMusic@gmail.com for press photos...

Sunday, January 8, 2012

NEW TRACK: ALIKIBA ft LADY J DEE - SINGLE BOY

...

Friday, January 6, 2012

AJALI MBAYA..BASI LA TAQWA

Basi la Taqwa linalo fanya safari zake za Dar to KIgali limepata ajali leo eneo la mikese Morogoro na kujeruhi watu kadhaa..Pole kubwa kwa walio jeruhiwa...kutoka kwa msongo te...

JUACALI - BABA YAO (Official Video)

...

P-Unit ft Sauti Sol - Gentleman

...

Majembe 2011,na bado WANATISHA 2012..

Ali kiba -alitikisa 2011 na dushelele sasa realesed track mpya kali akiwa na mwanadada Lady JD...banger inaitwa single boy. Diamond Platinum : jembe anatisha mbay...bila kubisha get album yake mpya LALA SALAMA..usikie sumu..alitisha 2011 na bado anatisha. Mr.Bluu : tila lila ni track iliyo sumbua katika media na bado inasumbua 2012 katika media na clubs.. A.Y:kawakilisha bongo vizuri kwa kufanya colabo na international artist kama Lamaya Gooding...